Jifunze jinsi ya kupata nambari inayojirudia mara nyingi zaidi katika seti ya data katika Excel. Formula rahisi inayokusaidia kubaini pattern au maadili yanayojirudia.

FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:

=MODE.SNGL(A1:A10)


MODE.SNGL ni formula ya Excel inayorudisha nambari moja inayojirudia mara nyingi zaidi katika safu ya seli.

A1:A10 ni safu au seli unazotaka kuchambua; badilisha kwa safu yako.

Formula hii haitahesabu seli tupu au zisizo na nambari.

Rahisi kukumbuka: “MODE.SNGL = Nambari Inayojirudia Zaidi”.

Ikiwa nambari nyingi ziko na idadi sawa ya mara zinazojirudia zaidi, MODE.SNGL inarudisha moja tu kati ya hizo.

LINKS NA RESSOURCES:

Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com

Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509