AVERAGE() – Jifunze Kupata Wastani Excel
FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:
=AVERAGE(A1:A10)
AVERAGE ni formula ya Excel inayopata wastani (average) wa seli zilizo na nambari.
A1:A10 ni safu au seli unazotaka kupata wastani wake; badilisha kwa safu yako.
Formula hii haitahesabu seli zilizo tupu au zisizo na nambari.
Rahisi kukumbuka: “AVERAGE = Pata Wastani wa Nambari”.
Unaweza kutumia kwa safu moja au safu nyingi, mfano: =AVERAGE(B2:F20) ili kupata wastani wa seli zote zilizo na nambari.
LINKS NA RESSOURCES:
Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com
Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509