Jifunze jinsi ya kuhesabu seli zinazokidhi masharti zaidi ya moja katika Excel. Hii ni muhimu unapohitaji kupata idadi ya seli zinazokidhi vigezo vingi kwa wakati mmoja.

FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:

=COUNTIFS(A1:A10, ">50", B1:B10, "Yes")


COUNTIFS ni formula ya Excel inayohesabu seli zinazokidhi masharti mengi.

A1:A10, ">50" – safu ya kwanza na sharti lake (nambari kubwa kuliko 50)

B1:B10, "Yes" – safu ya pili na sharti lake (maandiko "Yes")

Unaweza kuongeza masharti zaidi kwa kuendelea kuongeza pairi za safu + sharti.

Rahisi kukumbuka: “COUNTIFS = Hesabu kwa Masharti Mengi”.

Formula hii ni bora unapohitaji kuchambua data zenye vigezo vingi kwenye ripoti zako.

LINKS NA RESSOURCES:

Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com

Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509