Jinsi ya Kutengeneza Services Page kwa Multi-Sections
💻 Full Working Code
📠services.html
Huduma Tunazotoa
Web Design
Tunatengeneza tovuti bora kwa HTML, CSS, na JavaScript.
System Development
Mifumo ya PHP & MySQL kwa shule na biashara.
Training
Tunafundisha ICT, Database, na Coding kwa vitendo.
________________________________________
🎥 YouTube Description
Hapa tunajifunza jinsi ya kutengeneza Services Page yenye sehemu (sections) kadhaa.
Utaona namna ya kutumia Flexbox layout kupanga huduma zako kwa ufanisi.
Ni somo muhimu sana kwa wamiliki wa websites na freelancers.
🔔 Subscribe kwa masomo zaidi ya HTML & CSS.
________________________________________
ðŸ·ï¸ Hashtags
#HTML #CSS #WebDesign #ServicesPage #Faulink #Flexbox #ResponsiveDesign
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.