Jinsi ya Kutengeneza Homepage ya Static Website
💻 Full Working Code
📠index.html
Karibu Faulink
Jifunze HTML, CSS, JavaScript & PHP
Welcome to Faulink Tutorials
Hapa utapata masomo bora ya kutengeneza websites na mifumo ya PHP.
________________________________________
🎥 YouTube Description
Somo hili linafundisha jinsi ya kuunda homepage ya static website kwa kutumia HTML & CSS pekee.
Ni hatua ya kwanza kwenye kutengeneza tovuti kamili.
Utajifunza jinsi ya kupanga sehemu za header, body, na footer kwa muundo wa kisasa.
🔔 Subscribe kwenye Faulink YouTube kwa tutorials zaidi!
________________________________________
ðŸ·ï¸ Hashtags
#HTML #CSS #Faulink #HomepageDesign #WebDevelopment #LearnCoding #StaticWebsite
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.