Jinsi ya Kutumia CSS Overflow na Visibility Properties
Properties hizi hudhibiti jinsi maudhui yanavyoonekana endapo yatazidi ukubwa wa container.
Mfano wa Code:
Hii ni paragraph ndefu sana inayozidi box. Tazama jinsi overflow inavyofanya kazi.
YouTube Description:
Jifunze jinsi ya kudhibiti maudhui yanayozidi eneo la container kwa kutumia overflow na visibility.
Hashtags:
#CSSOverflow #CSSVisibility #Faulink
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.