Jinsi ya Kutumia Pseudo-Elements ::before na ::after
Pseudo-elements hutumika kuongeza maudhui kabla au baada ya elementi fulani bila kubadilisha HTML.
Mfano wa Code:
Karibu Faulink Academy
YouTube Description:
Tambua siri ya kutumia ::before na ::after kuongeza icons au maudhui maalum bila kutumia HTML nyingi.
Hashtags:
#CSS #PseudoElements #BeforeAfter #Faulink #WebTutorial
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.