Jinsi ya Kutumia Pseudo-Classes :hover, :focus, :active
Maelezo:
Pseudo-classes hutumika kubadilisha muonekano wa elementi kulingana na hali fulani (mfano: unapogusa kwa mouse au unapobofya).
Mfano wa Code:
CSS Pseudo-Classes
Link ya Mfano
YouTube Description:
Jifunze jinsi ya kutumia CSS pseudo-classes kama :hover, :focus, na :active kuboresha urembo wa website yako.
Hashtags:
#CSS #WebDesign #Faulink #HoverEffect #FocusState #WebDevelopment
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.