Jinsi ya Kuunganisha Google AdSense Kwenye Website Yako na Kuanza Kupata Pesa Mtandaoni
Kama una website au blog kama https://faulink.com
unaweza kuanza kupata pesa kupitia matangazo ya Google AdSense. AdSense ni mfumo wa matangazo wa Google unaokulipa kila wageni wanapoona au kubofya matangazo kwenye website yako.
Hatua ya 1: Fungua Account ya Google AdSense
Tembelea website rasmi ya AdSense:
https://www.google.com/adsense
Kisha:
Login kwa Gmail yako
Weka URL ya website yako
Chagua nchi yako
Kubali terms and conditions
Baada ya hapo account yako itaanza process ya review.
Hatua ya 2: Weka Meta Tag Kwenye Website
Google hutaka kuthibitisha kama website ni yako.
Utapewa code kama hii:
Jinsi ya Kuweka
Ingia cPanel au File Manager
Fungua public_html
Fungua:
header.php
au
index.php
Bandika code ndani ya:
Mfano:
Save file.
Hatua ya 3: Weka Ads.txt
Ads.txt huongeza uaminifu wa matangazo na kusaidia kuongeza mapato.
Google itakupa line kama:
google.com, pub-xxxxxxxxxxxxxxxx, DIRECT, f08c47fec0942fa0
Jinsi ya Kuweka Ads.txt
Tengeneza file:
ads.txt
Liweke ndani ya public_html
Paste hiyo line ndani yake
Save
Baada ya hapo fungua:
Ukiona code inaonekana vizuri basi umefanikiwa.
Hatua ya 4: Weka AdSense Script
Google itakupa code ya ads kama hii:
Bandika ndani ya:
Hatua ya 5: Request Review Baada ya kuweka: Meta tag ads.txt Adsense code Rudi dashboard ya: https://www.google.com/adsense Kisha bonyeza: Request Review Google wataanza kukagua website yako. Pages Muhimu Kabla ya Approval Website yako lazima iwe na: About Us Contact Us Privacy Policy Terms and Conditions Unaweza kutengeneza Privacy Policy hapa: https://www.privacypolicyonline.com/privacy-policy-generator/ Njia za Kuongeza Earnings Tumia SEO Jifunze SEO hapa: https://developers.google.com/search/docs/fundamentals/seo-starter-guide Andika Articles Nzuri Content original Keywords nzuri Posts nyingi Mobile friendly Hitimisho Kuunganisha Google AdSense ni njia nzuri ya kuanza kupata pesa online kupitia website yako. Ukifuata hatua zote vizuri utaongeza nafasi ya approval haraka na kuongeza mapato yako mtandaoni.
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.