Jinsi ya Kutumia HTML Classes na IDs kwa Styling
class inatumika kwa vitu vingi vinavyoshare style moja.
id ni unique – kwa element moja tu.
💻 Mfano wa Code
Hii paragraph ina class highlight.
Hii paragraph ina id special.
📠Description
Jifunze tofauti kati ya class na id na jinsi zinavyotumika katika CSS kwa styling.
🔖 Hashtags
#HTMLClass #HTMLID #CSSStyling #FaulinkAcademy #WebDevelopment #WebDesign #CodingKwaWatanzania
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.