Maswali kuhusu Faulink

Faulink.com ni tovuti ya elimu na huduma za uhasibu, matokeo, ratiba, mikopo, mauzo, na teknolojia ya kompyuta.

Chaneli ya YouTube ya Faulink inatoa mafunzo ya uhasibu, Microsoft Excel, matokeo, na ujuzi wa teknolojia kwa Kiswahili.

  • Mifumo ya uhasibu na matokeo ya wanafunzi
  • Ratiba za masomo na mitihani
  • Excel templates za mauzo, mikopo, bajeti
  • Mafunzo ya PHP, MySQL, HTML na kompyuta

Inatoa Excel templates na mifumo ya kufuatilia mauzo, stoo, mishahara, faida, hasara, na ripoti za kifedha.

  • Inahesabu alama, daraja, nafasi, na ripoti za wanafunzi.
  • Hutoa ratiba zinazochapishwa au za kidigitali.
  • Mikopo na marejesho kupitia mifumo ya Excel au PHP.

Ndiyo, kupitia video za YouTube na mafaili ya mazoezi, Faulink hutoa mafunzo ya Microsoft Excel, HTML, PHP, MySQL na zaidi.

Unaweza kuwasiliana kupitia WhatsApp, barua pepe (info@faulink.com), simu, au ujumbe kupitia tovuti ya Faulink.

Faulink iko Mbuyuni, Masasi, Mtwara - Tanzania.